GE2025 Kwani machawa wa Samia hawajui kama internet imerudi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,462
Reaction score
9,499
Mpaka muda huu machawa wa mama Samuya huko Instagram nikama wamepigwa na ganzi, machawa nikama hawajui watokeje kwenye huu mtumbwi wa kibwengo walioupanda. Pongezi hawatoi Wala salamu kwa mashabiki hawatoi

Ndugu zangu machawa internet imewashwa , na sisi tunasubiri kuona mnakujaje tuwapokee kivyovyote..Ila be warned: taa nyekundu imekwisha wakaa, we are no longer the same!
 
Nafsi inawasuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…