Secret service sio shirika la ujasusi,
Ni kitengo maalumu chini ya wizara ya mambo ya ndani chenye jukumu la la ulinzi kwa viongozi wa Marekani na mfumo wa kifedha wa Marekani kushughulikia masuala kama ya pesa bandia, utapeli katika taasisi za kifedha, usafirishaji haramu wa fedha na utakatishaji fedha.