Kwani kubambiwa si free mbona mnakua wakali kina dada?

Pumba tupu. Wenye hela ndo wanaowapa kiburi na vi IST vyenu barabarani eti wenye hela hawafanyi ngono nyoo. Wenye hela wangekua hawawazi ngono madada wa mjini wote wasingemiliki vi saluni, boutique, safari za china wangeziskia tu hata hao bongo muvi kina uwoya, wema wangekua choka mbayaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema awafanyi....wanafanya kwa afya..sio unamlala gal mbka kupanda ngaz uwez...mbona povu mkuu!!!
 
Nina gari,lakini naliona kama takataka,nalipaki tu home,kazini ninaenda na UDART ili nibambie,Siku moja nilimbambia mtu pasipokujua ni wife,ila yeye hakuniona ,nilimtambua mwishoni kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom