J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 Jun 11, 2025 #1 Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani Mlale unono ππΉπΏ
Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani Mlale unono ππΉπΏ
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 49,804 Reaction score 40,216 Jun 11, 2025 #2 johnthebaptist said: Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani Mlale unono ππΉπΏ Click to expand... muhimu zaidi maslahi ya Zanzibar yazingatiwa kwa mujibu wa katiba ya chadema, hususan kwenye mgawanyo wa mamlaka na rasilimali π
johnthebaptist said: Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani Mlale unono ππΉπΏ Click to expand... muhimu zaidi maslahi ya Zanzibar yazingatiwa kwa mujibu wa katiba ya chadema, hususan kwenye mgawanyo wa mamlaka na rasilimali π
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,964 Reaction score 131,423 Jun 11, 2025 #3 Wa huko wanaongozwa kiujumla na mwenyekiti wa visiwani
M mwanamabadiliko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 1,364 Reaction score 2,396 Jun 11, 2025 #4 Hao vijana wa mbowe na vijana wazanzibar ndo wanaihujumu chadema. we umesahau mbowe alikunywa konyagi akamsifia samia
Hao vijana wa mbowe na vijana wazanzibar ndo wanaihujumu chadema. we umesahau mbowe alikunywa konyagi akamsifia samia