Naona viongozi wa Chadema wanapuyanga tu huko mikoani kushawishi wananchi wasishiriki uchaguzi mkuu
Ndio nauliza kwani hizo Reforms zinatakiwa kufanywa na Wananchi?
Au bunge?
Au Tume ya uchaguzi?
Gen Z pamoja na utoto wao lakini walijua sehemu sahihi yaao kwenda kusimamisha Finance bill ni bungeni lakuni hawa Chadema sidhani hata kama wanajua utaratibu wa kufanya hizo reforms
Mlale unono 🇹🇿
Kwa baba yako
English No Reform, No Election
Mandarin Chinese (Simplified) 没有改革,就没有选举
Hindi सुधार नहीं, तो चुनाव नहीं
Spanish Sin reforma, no hay elecciones
French Pas de réforme, pas d’élection
Standard Arabic لا إصلاح، لا انتخابات
Bengali সংস্কার নেই, নির্বাচন নেই
Russian Нет реформ — нет выборов
Portuguese Sem reforma, sem eleição
Urdu اصلاح نہیں تو انتخابات نہیں
Indonesian Tidak ada reformasi, tidak ada pemilu
German Keine Reform, keine Wahl
Japanese 改革なしでは選挙なし
Swahili Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi
Marathi सुधार नाही, निवडणूक नाही
Telugu సంస్కరణలు లేవు అంటే ఎన్నికలు లేవు
Turkish Reform yoksa seçim yok
Tamil திருத்தம் இல்லை என்றால் தேர்தலும் இல்லை
Korean 개혁 없이는 선거도 없다
Vietnamese Không cải cách, không bầu cử