Kwangu mimi Putin ndiye mshindi wa vita kati yake na Ukraine

Jibu swali hili kwanza, hivi kwa uelewa wako mdogo ni halali nchi moja kuivamia nchi nyingine kama alivyofanya dictator Putting?
 
Ubarikiwe sana kwa kutuongezea chakula ya ubongo
 
Boss nimekuelewa na mchango wako unaheshimiwa
 
Wajinga wengi wanajishughulisha na matokeo badala ya chanzo.
Nadhan ni tatizo la kutojua geopolitics za mbele.
Russia was squeezed to the wall and retariated vigorously!
Marekan na vibaraka wake oxygen yao ni vurugu, vita na migogoro!
Kuna hotuba ya juzi ya waziri wa nje wa china amemchana marekan na uibilis wake.
Ndio maana naiombea sana russia na brics wamdhibiti huyu kibaka lunkunku, marekan.
Unipolarism ni udhalilishaji na umwamba wa kinyampara.
 
Tupo wengi sana tunamuombea dua njema Putin ashinde hii battle
 
Latvia amejiunga NATO na hajafanywa kitu. Na huo unaosema mkataba wa kutojiunga NATO ni mkataba au uliishia kwenye makubaliaono ya awali(MOU)?
 
Hapo unataka kudanganya Mkuu hata kama humpendi mtu si Kwa kumsingizia uongo Hebe lete ushahidi wapi tundu lisu amesema anaunga ushoga
Wachana na hao sukuma gang ambao kimsingi hawampendi kabisa mh Lissu
 
Mkuu mbona umesahau kuwaorothesha na wale maraisi na nchi zao wanaosababisha vurugu duniani USA, UK,France, na ndugu zao wengine
 
Mtoa mada unachekesha! Unamuunga mkono Putin huku unamponda Mwendazake wakati hawa watu wawili wanafanana aina yao ya uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…