Kwakweli najiona kama napotea

weeee endelea kupiga monde tu mzee... hapo ulipo wewe ni mzalendo Unachangia pato la taifa..
 
Kawaida tu ukifika stage ya kutumia pombe asubuhi kama chai saa nne unakunywa kama uji mchana unakunywa kama chakula jioni unakunywa kama sapa usiku ndio unaanza sasa kunywa pombe kama pombe ndio urudi hapa kuomba ushauri..utakua unaanza kufikia viwango vya platinum
 
Huwezi acha pombe wakati bado hujaainisha chanzo cha tatizo, tatizo liko shinani siyo kwenye matawi, unakazana kuacha ulevi chanzo cha ulevi kiko palepale hautatoka hapo.Ulevi goes deeper pengine ni spiritual problem ukiiendea kimwili hutoki.
 
Mweeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
 
Andika maneno haya kwa herufi kubwa na wino mwekundu "POMBE SIO CHAI,NTABAKWA"...afu bandka kla sehemu ndani ya nyumba yako usisahau chooni...

Afu uje utupe feedback..
 
Ongeza lishe na matunda matunda...huku pombe ukitumia chupa 2,3 baadaye utajikuta umeacha tu
 
Mkuu Mimi sijaona sababu ya wewe kuacha pombe..! kama unatafuta hela mwenyewe na unanunua pombe kwa hela yako basi usiache...acha pale ukianza kunywa matapu tapu au ukianza kugongea pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa tu baba pesa si unayo tatizo nini??
 
Mzinga wa kvant na safar sita

Unamaliza,nenda kwa ngwaji
Akuombee tu mkuu

stidy
 
Jaribu kubadilisha mazingira na marafi pia, mda ambao huwa ukwenda kunya pombe tafuta kitu mbadala uwe unafanya Kama mazoezi inaweza kukusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…