Hadi naandika huu uzi ni kwanmba hajawa easy kuacha lakn naamini nitaishinda tu mungu anitie nguvu.Amua kuacha.
Pombe uachwa na aliye amua mwenyewe kisha badili mtindo wako wa maisha na zaidi marafiki wa namna ya tabia unayo tamania kuiacha...
Kisha muombe Mungu sana kama una Imani hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujaamua, ukiamua hakuna kinachoshindikana.Hadi naandika huu uzi ni kwanmba hajawa easy kuacha lakn naamini nitaishinda tu mungu anitie nguvu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado hujaamua, ukiamua hakuna kinachoshindikana.
Japo mwanzo itakuwa ngumu ila ukisimamia maamuzi yako utaweza. Anza na kinachosababisha unywe pombe, then anza kwa kupunguza kiasi unachokunywa siku hadi siku.
Ikishindikana nenda kamuone mwanasaikolojia atakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwa mganga
nilikuwa amani chapombe;acha kabisaLazima nitaacha kiukwel sema hadi nashinda ili jaribu itakua pia imenitesa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo kampani ndio tatizo ,jaribu kuwa na marafiki ambao sio wanywaji au kama wanakunywa basi Mara 1 1 sanaShida naisi upweke tu,make kwa mda huu nimekua mtu wa kupenda company sana nanienda kupata hizo company naishia kunywa kwa hiyo option ni kuzipiga hizo company kiukwel.
Sent from my iPhone using JamiiForums