Ok, karibu sana tule sato na sangara
Ngoja ni organize na Mr hapa then upate pahala pazuri pa kufikia
Ha ha ha ha ha............hapana!
sikutaka kabisa umshirikishe huyo mr. wako!!
na kama umemwambia na hairisha safari yenyewe..
mie siamini kama ulisahau, hivi ni kweli? au unatania?? ile shughuli eti how can you forget your lovely wife just married, dahh i cant believe, anyway do something.
Hujatulia wewe, umevamia fani wakati hujakomaa vya kutosha.
Kwanza wewe ni acha acha...i'll tell Chocs about ths!
mbaya zaidi kuiacha mpaka utangaze, kama ulivyomfanyia yule mwingine..
Ngoja niende Mwanza tu!
utaipata habari ya mmakonde mimi..
Ilikuwa ni tofauti sana na ulivyo wewe baada ya ndoa.Inawezekana kweli sijatulia. Hebu niambie ww ilikuwaje ulipo oa au kuolewa?
Love u more
DahHalafu anakuharibia ujue