Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,048
- 4,449
MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!
But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death!
Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.

Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Ilikuwa ni juzi ya jumamosi nilipofunga ndoa ya kikristo.
Nimefungua ukurasa mpya wa maisha.
Nimaisha yanayohitaji umakini sana ktk kila jambo unalofanya.
Kituko ni hiki sasa
Kunawakati najisahau kuwa nimeoa. Mhhhh naweza nikawa naplani ratiba zingine kama enzi hizo nikiwa sijaoa.
Badae nakuja shituka haaaaaaaaaaaaaaaa kumbe bibie yupo home na ananisubiri.
Swali langu kwa wanandoa
Hivi hata wewe ilikutokea hii pindi tu ulipo oa au kuolewa?
We jiendekeze kusahau kama umeoa, utatinga na changu home ndo utatia akili
Ni kawaida unajua ni maisha mapya. Hata mimi nilipoolewa siku za mwanzo nilikua najisahau nahisi nachelewa kurudi nyumbani kwetu nakuja kustuka kumbe nipo kwangu sihitaji kurudi nyumbani. Wakati mwingine nilkua najihisi kama bado nipo home vile. Ni ktu cha kawaida utazoea.
Asante sana ingawa nina miaka mingi kwenye ndoa yangu. Asante mkuu.Hongera sana kwa kuolewa...
labda ndoa ya mkeka ila sio ya kikristo kama anavyosema.MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death! Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.
labda ndoa ya mkeka ila sio ya kikristo kama anavyosema.
Ok, karibu sana tule sato na sangaranina mpango wa kuja mwanza next month..nitafutie sehemu nzuuri yakufikia best..
Na uishie hapo hapo kwenye kupanga ratiba za kibachela, jiangalie usije ukayatamka majina ya ma-X wakati unamndoa mkeo...Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,