mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Mkuu niende moja kwa moja katika hoja.
Naomba usafirishaji jijini usiwe wa mwana dar es salaam mmoja mmoja.
Kampuni zitumike kusafirisha abiria jijini.
Coasta, dcm hazifai tena jijini.
Miji mikubwa yote duniani ile yenye kutaka kubadilisha namna njema ya Huduma, miji ya wastaarabu haina kero kama hii ya dar es salaam.
tunabanana sana, tunapumuliana wanawake na wanaume, watu hatuvai vizur kwenye coasta na cdm tunabanana haipendezi.
Mkuu chukua wazo hili
Kampuni zitumike kutoa Huduma ya usafirishaji jijini.
Kuendelea kuwaacha wahanga njaa etu wajipatie riziki hatutaendelea.
Wenye coasta zao wanunue mabasi makubwa wakae kama kampuni wafanye biashara kwa utaratibu. ubora wa mabasi, seat na Huduma Zote awe nazo apewe tenda.
Kampuni ziombe tenda na kusaini mikataba kupewa kuhudumia jiji. Kaa na wamiliki wenye kampuni ziombe zikiwa na sifa zitakazo ainishwa. Sifa zikiwa basi liwe na seat safi na zrnye mikanda. Madirisha na ventilation safi. Baadhi ya daladala dsm hazina sifa ya kumtumia jijini ama zilikuwa kwa ajili ya nchi za baridi. Abiria wa Dar es salam wanateseka wamekaa kimya. Mkuu nisaidie.
Madereva wawe wastaarabu. Kampuni husika zina uwezo wa kumtumia post paid card. Kwa mwezi, mwaka or whatever. Tuondokane na wapiga debe na wezi. Kampuni itaamua iajiri 20 drivers with contract. Ukitaka Mkuu nakuandika paper
Tutawahi makazini na tukiwa wasafi
Naomba kutoa hoja.