Eddie
Nakuomba uwe na amani.
TFF kupitia kamati ya rufaa ya uchaguzi iliongea tukaisikia.
Serikali kupitia tamko la wizara yenye dhamana ya michezo iliongea tukaisikia.
Jana kupitia ujumbe wa Bw. Tenga FIFA imeongea tumeisikia.
Alhamisi tar 09/05/2013 kamati ya utendaji ya TFF itakaa tutaisikia.
Inshallah tuombeane kheri,bora uzima.
Malinzi akishinda uraisi TFF Yanga tumeumia
jamal unjibishana na kina nyamlan athman smahan nimechelewa nilitaka kukwambia usimjibu chochote wanahisi majibu yako yatawapa mwongozo nini cha kkufanya shame n them hii ni nidhamu ya uwoga tu waendelee kujiandaa kama walivyotaka kufanya mmchezo wao mchafu mungu akaingilia katieddie
nakuomba uwe na amani.
Tff kupitia kamati ya rufaa ya uchaguzi iliongea tukaisikia.
Serikali kupitia tamko la wizara yenye dhamana ya michezo iliongea tukaisikia.
Jana kupitia ujumbe wa bw. Tenga fifa imeongea tumeisikia.
Alhamisi tar 09/05/2013 kamati ya utendaji ya tff itakaa tutaisikia.
Inshallah tuombeane kheri,bora uzima.
Malinzi akishinda uraisi TFF Yanga tumeumia
Sikuwahi kujua kama TFF kuzuri hivi!ni kweli kwa mapenzi ya soka na maendeleo yake au maslahi binafsi?mnatoka mapovu wewe Malinzi na Wambura!sidhani kama ni mapenzi ya soka!na hivi hakuna muingiliano wa kiutendaji kati ya Rais na TFF na BMT?...nahisi TFF ni daraja la ubunge labda!
Malinzi akishinda uraisi TFF Yanga tumeumia
Eddie
Nakuomba uwe na amani.
TFF kupitia kamati ya rufaa ya uchaguzi iliongea tukaisikia.
Serikali kupitia tamko la wizara yenye dhamana ya michezo iliongea tukaisikia.
Jana kupitia ujumbe wa Bw. Tenga FIFA imeongea tumeisikia.
Alhamisi tar 09/05/2013 kamati ya utendaji ya TFF itakaa tutaisikia.
Inshallah tuombeane kheri,bora uzima.
Sikuwahi kujua kama TFF kuzuri hivi!ni kweli kwa mapenzi ya soka na maendeleo yake au maslahi binafsi?mnatoka mapovu wewe Malinzi na Wambura!sidhani kama ni mapenzi ya soka!na hivi hakuna muingiliano wa kiutendaji kati ya Rais na TFF na BMT?...nahisi TFF ni daraja la ubunge labda!
Malinzi akishinda uraisi TFF Yanga tumeumia
Sikuwahi kujua kama TFF kuzuri hivi!ni kweli kwa mapenzi ya soka na maendeleo yake au maslahi binafsi?mnatoka mapovu wewe Malinzi na Wambura!sidhani kama ni mapenzi ya soka!na hivi hakuna muingiliano wa kiutendaji kati ya Rais na TFF na BMT?...nahisi TFF ni daraja la ubunge labda!
Point notedHata mchakato ukianza upya nakuhakikishia Malinzi na Wambura hawatapita on technicalities ambazo wao na wapambe wao kwa vile ni mbumbumbu hawajazigundua!!