Kwaheri Mbowe katika CHADEMA

Laana ya kumpoteza saa8 inawatesa sana mpaka mnang'ang'ania madaraka.

Eti kisa ana urafiki na jamaa wa green mkaamua kumpoteza. Mungu anawaona.
Ni ukweli kabisa, 33 yrs only Bernard saa8 jamani, kuna mijitu ina miroho migumu walahi!
 
Hiki chama cha wachaga, kimekaa kidikteta sana.

Ukihoji jambo lazima uitwe buku7, msaliti au umetumwa na ccm !! .


Juzi mbunge machachari Nassari ametangaza kuikubali kasi ya Magufuli tayari ameitwa msaliti wa saccos.
 
Bandiko reeeefu la ndoto za alinacha😀😀😀
 
Maskini Mbowe!
Wewe meta uzi si mwanachama wa CDM. uenyekiti wa Mbowe
Wewe meta uzi si mwanachama wa CDM. uenyekiti wa Mbowe unakuuma nini? Sisi tunaridhika na utendaji wake. Hatuna Nia ya kubadili hivi karibuni. Badilisheni huyo wa kwenu kama mnataka.
 
Maskini pombe tunaenda kumpoteza hivihivi
Ni muda tu utaongea
 
CCM inajifanya kuishauri sana Chadema..

Sijui hii kazi ya ushauri walipewa lini?
 
Vipi "insider" wako wamekwambia kuhusu hili? au safari hii umeambiwa na "outsider"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…