mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,936
- 5,300
salam kwenu wadau, uzi huuu una lenga kufanya tathini kidogo ya jimbo la kaliua hasa eneo lililokua likiitwa ukumbi siganga kabla ya kaliua kua wilaya. ukumbi siganga ilikua kata iliyo jumuisha vijiji vifuatavyo, uyumbu (km 34), kangeme (km 48), lumbe A na lumbe B (km 60), kilometa 90 na ugalla.
Prof juma kapuya kwa mala ya kwanza aligombea ubunge mwaka 1995 akiwa na mpambe wake aliye msaidia sana kuomba kura mzee Haruna kapela na kapuya akafanikiwa kupata ubunge. kuanzia wakati huo alikua mbunge hadi hivi sasa alivyo ondolewa na upepo wa UKAWA.kama si upepo wa ukawa isingekua rahisi kumuondoa kapuya kwenye ubunge ambao nadhani aliamini ni yeye tu alifaa kua mbunge wa kaliua.ukizingatia kua ni proffesor pekee anae julikana kutokea kaliuwa kama wapo wengine basi hawajulikani.enzi hizo ilikua ni muhali kwetu vija kumkosoa kapuya wazee walikua kituonya na kusisitiza kua tuache kuvuta bangi(nzyemu) kwani waliamini kua ni mvuta bangi pekee ndo angeweza kumkosoa kapuya.
Tangu kapuya amekua mbunge kwa miaka ishirini maeneo hayo niliyotaja hapo juu hakuna kililicho fanyika zaidi ya ahadi za miaka nenda rudi,huduma za kijamii kama,barabara,elimu na afya ni shida.alama pekee aliyo iacha kwa kaliua mjini kusimamia uanzishwaji kaliua high school na umeme kufika kaliua.
Mama Magret sakaya unayo kazi kubwa kwa wanakaliua,zingatia kua kama wanyamwezi wameamua kukupa nafasi wanacho wakitarajiacho kutoka kwako.imewachukua wanakaliua miaka ishirini ili kumu ondoa kapuya sithani kama wewe wanatakuvumilia kiasi hicho.kaliua bila kapuya kumbe inawezekana.