Kwa Zena hatoki ntu?

Habibu Hanga anatiririka nayo step by step . It is very interesting kwa kweli.
 
Mkuu mbaya zaidi ni deal la manati lililo kwenda kombo.
Manati yametoka Ulaya, kama sisi ndo tumeagiza, manati yamekamatwa na Mjomba Sam(Ankali) na kugundua kuwa manati yametoka Malawi.

Manati yamekamatwa kwa wazee wa unga.

Vibali vyote vina sahihi za serikali ya Malawi, Ankali Sam akikuwekea darubini hakosei, tumuulize Maduro wa Venezuela.
 
Nyuki wamejaa usoni ila hakomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…