Kwa yaliyotokea jana kwenye dimba la Namfua ni dhahiri kuwa msimu ujao Yanga ndo atakuwa wa matopeni

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Heri ya pasaka wanajamvi awali ya yote ningependa kuwapa hongera timu ya Singida kwa kuwang'oa timu ya Yanga jana wakati mpira unaanza niliwaatahadharisha mapema mashabiki wa Yanga kuwa lile kombe la Fa ndo turufu yao ya mwakani ya kupanda ndege kwenda kuwakilisha kombe la shirikisho sasa kwa matokeo yaliyotokea ina maana Yanga amebaki na nafasi mbili ya kwanza kuchukua ubingwa wa vpl ambao bado kuna upinzani mkali na Simba au nafasi ya pili achukue kombe la shirikisho ambalo anacheza tarehe 07-April na waethiopia ambao wamemtoa Zamalek ukiangalia nafasi ya kuchukua kombe hili la shirikisho la afrika ni ngumu labda refa awe Kambuzi na Nkongo na rais wa Caf awe Malinzi na viporo viwepo kwa maana hiyo mashabiki wa Yanga msimu ujao wajiandae na tambo za wekundu wa msimbazi
 
Back
Top Bottom