Kwa Wenyeji..........

Hatuna muda wa kulumbana na wewe, BTW tuna mambo mengi yakufanya! Sina muda wa kuanza kukuambia mwana ilboru huyu au hawa wamefanya hiki na kile. Tunachokijua wengi wetu tupo vizuri kwenye almost kila kitu......We endelea tu kujipigisha kelele!!
 

special hatufaulishwi mkuu,jipange upya.
 

Chuo sijasoma Udsm mkuu hili ni zao la MZUMBE.
 
Chuo sijasoma Udsm mkuu hili ni zao la MZUMBE.

YAANI BADO TU HUONI HOJA YANGU ILIPO! DU! KWELI I CAN SEE THIS IS 'KIPAJI MAALUM'

I REPEAT AGAIN!!!...MY ARGUMENTS WILL ALWAYS BE HARDER FOR YOU 'VIPAJI MAALUM' TO REPLY UNLESS YOU SETTLE DOWN, RETREAT AND MEDITATE. ...YOU CAN QUOTE ME FOR THIS:ranger:.
 
Brpda tulikuwa pamoja nini juzi kwenye Gradu na mheshimiwa Sumaye?
 
Broda tulikuwa pamoja nini juzi kwenye Gradu na mheshimiwa Sumaye?
 
Kabisaa madogo bado wapo vizuri....nipo kwenye mchakato wa kuwapelekea angalau computer kumi kama walivyoomba katika risala yao. Ilboru ni nyumbani,imenitengenezea ajira pia na heshima.

Good memories kaka, kuna picha moja umepiga kule kwenye mtambo wa kuvuta maji yale ya chemchem....imenikumbusha mbali sana(when Kitemango was the Headmaster) maana karibu na eneo hilo tushawahi kuchimba bwawa la samaki sijui kama hadi leo lipo!!!!
 
Hahaha...enzi za Sumaye hapo Ilboru nasikia alikua anakaa Oldonyo na alikua kiranja wa bweni...!!!
Sumaye the true Ilborian...

Broda tulikuwa pamoja nini juzi kwenye Gradu na mheshimiwa Sumaye?
 
Mpwa sikuwahi kujua kama wewe ni "Mmenye" mwenzangu....Long live Ilboru Sec....

Hatuna muda wa kulumbana na wewe, BTW tuna mambo mengi yakufanya! Sina muda wa kuanza kukuambia mwana ilboru huyu au hawa wamefanya hiki na kile. Tunachokijua wengi wetu tupo vizuri kwenye almost kila kitu......We endelea tu kujipigisha kelele!!
 
Swali hili lielekeze kwenye mamlaka husika...ni sawa na kuanza kuwauliza wanao "kwa nini mlizaliwa wanaume au wanawake au wafupi n.k"
Marekani wana mfumo mzuri wa kutunza wanafunzi walio na IQ kubwa na mfumo wa umaalum unaendelea hadi vyuo vikuu kama MIT, HAVARD, YALE n.k.
Sasa unachojaribu kufanya hapa sichelei kuita ni WIVU, kumbuka hatukujiumba sisi kuwa na uelewa mkubwa bali yupo Mungu anayejua nani amgawie nini.
Hata wewe kuna kitu amekupa kinachomzidi yule aliyepita kwenye shule maalum.
Unganiko la wewe na wengine ndio ukombozi wa Taifa letu. Vifaa vya gari vinashirikiana na ndio maana gari latembea, vivyo hivyo kwa viungo na mifumo ya mwili n.k.


 
Mpwa sikuwahi kujua kama wewe ni "Mmenye" mwenzangu....Long live Ilboru Sec....

hahahaha...kumbe na wewe watu8 ni mzee wa umenyeni? Unakumbuka kitei na kitu cha tego!! Nimeimiss sana Ilboru!!
 
Last edited by a moderator:
Naam mpwa...98-01 ndio ulikua wasaa wangu hapo Ilboru kata ya Moivo, Mawezi na Hanang ndio vilikua viota vyangu kwa muda wote wa kuishi Umenyeni.
Kitei, chui, sumu na ng'ande ndio misosi bila kusahau kutegwa kila panapo Ijumaa na Jumamosi pale Assembly Hall, Bwaloni au sometimes pale Calvary....

hahahaha...kumbe na wewe watu8 ni mzee wa umenyeni? Unakumbuka kitei na kitu cha tego!! Nimeimiss sana Ilboru!!
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ipo kubwa sema unajifanya huoni. Ubora na uzuri wa kipekee wa shule hizi wana zifahamu waliopita katika shule hizi, kawaulize HAZINA, MOET ......

Uko hazina wamefanya kipi cha maana kwa nchi kama si kuendeleza ufisadi tu? ubora wao ni upi kama nchi haifadiki nao kwa lolote? Utakuwa na kipaji maalumu halafu unapigia debe magamba? Basi akili zako zitakuwa ni za kushikiwa na wala huna kipaji chochote.
 
Katika maisha yako yote ya kusoma shule hapa Tanzania hujawahi kupata mtihani uliyoleak kabla ya siku (muda) wa mtihani?
 
Hatuna muda wa kulumbana na wewe, BTW tuna mambo mengi yakufanya! Sina muda wa kuanza kukuambia mwana ilboru huyu au hawa wamefanya hiki na kile. Tunachokijua wengi wetu tupo vizuri kwenye almost kila kitu......We endelea tu kujipigisha kelele!!
Sio huna muda hoja yake ni ngumu, unakimbia sio, ongea nae kwa hoja, usimtishie eti uko vizuri, uko vizuri kwa kip, jibu hoja kwa akili tujue uko vizuri!
 
Nimependa saana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…