Kwa wenyeji wa Shinyanga

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,370
Reaction score
14,522
Hbr Wakuu, nipo Safari naelekea Shinyanga, naomba kujulishwa Guest nzuri yenye huduma nzuri za Malazi na Chakula plus Vinywaji.
 
Nahisi Nina matatizo mm. Yani nikifika mahali kwa mara ya Kwanza hata iwe usiku vipi info zote muhimu nazipata ndani ya dk 5. Yani dereva nitakayemkodi stand au airport atanipa info zote nakuwa Sina haja ya kuwachosha wengine
Ni Kweli wewe una Matatizo kwasababu sijakulazimisha unijibu. Km unahisi ninakusumbua basi pita kule.
 
Liga,Malaika au vigimark Nmekuwa nkizitumia hzo mkuu. But also kuna Lodge nzuri tu karibu na stendi ya mabasi ya mkoa ni nzuri kwa nje but sijui ndani zinavofanana.
 
Nahisi Nina matatizo mm. Yani nikifika mahali kwa mara ya Kwanza hata iwe usiku vipi info zote muhimu nazipata ndani ya dk 5. Yani dereva nitakayemkodi stand au airport atanipa info zote nakuwa Sina haja ya kuwachosha wengine
+1
Mimi nikifika sehemu ngeni swali langu kwa boda bida au taxman huwa" unaujua mji huu vizuri" akijibu kuwa haujui vizuri na move on kwa mwingine , mpaka nitakapompata anaye ujua mji kisawasawa , then ndo nampa conditions za sehemu ninazopenda kuwepo,
Sijawai au kujuta kosea kwa mbinu hii.
 
OK!!!, kumbe??!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…