Duh!! Hayo mambo hata usihoji mkeo akitoa na wewe toa tu wala usitake kuhoji mama zetu hawa ndivyo walivyo japokuwa inaudhi sana.
Mfano halisi ni kwangu niko na mama mkwe yupo kimatibabu sasa ni zaidi ya miezi 8 ana mtoto wake huyo wa kwanza si haba mambo safi zaidi sasa kila akikutana naye mostly weekend lazima amchape na kilo kadhaa,hubby naye anamwachia hela,watoto wengine wakikutana nao si haba wanajitahidi kwa kias chao,lakini bado ataniambia hana hela nimsaidie vocha mtoto wa kike sina hiana nampa tu tena zaidi, kila siku ana kazi ya kuhesabu mahela yake mpaka yanampa presha.
Wewe toa tu kulinda amani ya nyumba ukihoji sana utawachukia wengi.
my dear,shida si kiasi tunachompa nawaza tu tafsiri yake,kwamba mke mchoyo anamdanganya mmewe kumbe hatoi cela kwa Mama au mume, mimi naona Kama Mama hathamini kinachotoka kwa mkwewe So beta mke ajitoe kwenye ishu zote za Mama amuachie manie
my dear,:-shida si kiasi tunachompa nawaza tu tafsiri yake,kwamba mke mchoyo anamdanganya mmewe kumbe hatoi cela kwa Mama au mume, mimi naona Kama Mama hathamini kinachotoka kwa mkwewe So beta mke ajitoe kwenye ishu zote za Mama amuachie manie
Wapi hapo kasema anaona shida kuishi na ma mkwe?mmh....Kama unaona shida kuishi na mama mkwe wa kizazi uhuru.Basi usiache kufikiri shida itakayo wakuta pale wewe utakapo kuwa mamakwe!
Lakin Swala Lakumpa Pesa Kilasiku Kwani Hamumwachii Chakula Nyumbani? Au Anamatumiz Gan Kwasiku?Kwakuwa Mmeshamjengea Tabia Yakumwachia Pesa Kilasiku Iweni Makini Sana, Pesa Hiyohiyo Mliyokusudia Iwape Thaman Kwake, Itawagombanisha Msipokuwa Makini, Unaweza Kumpa Mkeo Pesa Ili Ampe Mama Naanapompa Muwepo Wote Pamoja Ili Ushuhudie Kumfanya Mama Akose Namna Yakuwachonganisha, Sababu Nikionacho Mama Anataka Akwambie Mkeo Hanijali, Hanitunzi, Hanipi Pesa Wakati Mkeo Nimwema, Becarafully!
sema wewe kiazi, kuna watu washakariri kila mkwe ni ugomvi, mtu unauliza solutions anakuja na bhangi zake