Kwa wenye magari madogo tu!

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,767
Wakuu naamini mko poa!

[emoji117]Vioo vya magari yetu vimegeuka matanuri pale tunapo park juani?

[emoji117]Dashbord na siti vinachoma kama pasi pale unapofungua mlango na kuingia garini kwako?

[emoji106] Tunazo SUN SHADE ambazo zinafanya kazi kama kinyonya jua kwa kulinyonya jua na joto lote linalopiga ndani ya kioo cha gari yako hasa pale unapokua umepark juani

[emoji106]Ni rahisi sana kutumia kwani zinajikunja na kufunguka na lock maalum za kupachika na kupachua kwenye kioo cha gari yako

[emoji106] Baada ya matumizi utahisi hali ya hewa ya kawaida kwenye gari yako, hakuna tena joto kali, Dashbord yako haitakakamaa na kupauka tena......

[emoji383] Bei ni 18000/pc

[emoji1631] Tunafanya delivery BURE maeneo yote ya Dar es salaam pia tunatuma mikoani kwa gharama nafuu

NB:
Upload ya picha inagoma wakuu kwa anayehitaji nitamtumia picha whatsup
 
Chek this..
 
Ungeweka No ya Simu, bidhaa inaoatikana wapi, mbali na kupelekewa.
 
Wakuu zipo pia batery za alarm (betri za funguo za alarm) kwa wale ambao funguo zao za alarm hazifanyi kazi kwa kuishiwa na batery
 
Still there wakuu, mzigo unazidi kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…