Kwa wenye kampuni na wanaotarajia

Kwa wenye kampuni na wanaotarajia

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
katika ulimwengu wa biashara kinachoongeza mauzo sio bidhaa ila ni neno uliloliweka ndani ya kichwa cha mteja wako na ili kuliweka neno likastawi na kuwa na mihimili uaminike unatakiwa kujibrand mwenyewe kampuni pia,kuna aina nne za brand (bidhaa,kampuni,mtu,alama) hizi ndizo aina za brand bila kuzikamilisha utaona kila siku wenzako wanafanikiwa wewe ukibaki pale pale.

legacy impresion company tunatoa huduma ya brand kwako sasa,karibu tukufanyie brand ya alama na elimu pia kuhusu brand

Bei zetu ni nafuu kabisa kwa kiwacho cha mtanzania anaeanzisha kampuni au mwenyekampuni ambayo bado haijaanza kutoa mauzo makubwa,karibuni sana

mawasiliano ni :-
Legacy impresion company
For: Graphic Design,printing,webtech & stationeries.
Plot 428,block 44 kijitonyama,oppst na K.K.K.T church
Phn:0713 603 699/0767 603 699
email: info@legacytz.com
web:www.legacytz.com
 
Nimeona website yenu, Duh! Mko juu kinoma!!!

asante kaka kwa kuonyesha kweli umeamua kutujua na unania na sisi kama ulivyoona project ni mpya hivyo bado website tunaifanyia marekebisho ili iendane na project pamoja na elimu tunayoitoa hivyo usiogope karibu sana mkuu ndio maana nikatoa na physical address na phone number
 
katika ulimwengu wa biashara kinachoongeza mauzo sio bidhaa ila ni neno uliloliweka ndani ya kichwa cha mteja wako na ili kuliweka neno likastawi na kuwa na mihimili uaminike unatakiwa kujibrand mwenyewe kampuni pia,kuna aina nne za brand (bidhaa,kampuni,mtu,alama) hizi ndizo aina za brand bila kuzikamilisha utaona kila siku wenzako wanafanikiwa wewe ukibaki pale pale.

legacy impresion company tunatoa huduma ya brand kwako sasa,karibu tukufanyie brand ya alama na elimu pia kuhusu brand

Bei zetu ni nafuu kabisa kwa kiwacho cha mtanzania anaeanzisha kampuni au mwenyekampuni ambayo bado haijaanza kutoa mauzo makubwa,karibuni sana

mawasiliano ni :-
Legacy impresion company
For: Graphic Design,printing,webtech & stationeries.
Plot 428,block 44 kijitonyama,oppst na K.K.K.T church
Phn:0713 603 699/0767 603 699
email: info@legacytz.com

Unanipa wasiwasi kama kweli unachozungumza/kueleza kinaendana na uhalisia wa Unachokifanya.

Maana umeshindwa hata kuweka link kwenye anuani ya Tofuti yenu!.
Nimejaribu kuiweka hata kabla sijaifungua ili mtu anafungua kirahisi badala ya kuanza kuandika kwenye kurasa mpya ya Internet.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom