Kwa wenye BlackBerry za Verizon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenye BlackBerry za Verizon

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KakaKiiza, Oct 20, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Mimi nina verizon BlackBerry ilikuwa na matatatizo ya fuatayo Moja nilikuwa siwezi kuulizia salio nikiwa namaana ya kutumia key hizi *102#au kuingiza pesa kwakutumia key hizi *104# nimepata software yakutoa hivi vitu naniaweza kufanya hivyo tayari naulizia salio nawezakuingiza salio!!Ila na net nilikuwa sipati ila nimeweza kufanya kazi moja naitumia kama modem nipo katika mchakato wakuakikisha na naitumia kwenye net ikiwa yenyewe!!
  Mwanzoni sikuweza kutumia kitu chochote zaidi ya kupiga tu na kupokea tu lakini sasa natumia kam modem,naulizia salio kwakutumia key nilizozitaja hapo juu,sihitaji tena kurushiwa salio!!Nimeangaika kwa mafundi waliopo hapa dar mpaka wakasema hii haiwezekani lakini inawezekana nasasa natumia neti japo kwa kutumia kama modem lakini nitajitahidi mpaka niwe napata BBM
  Nione kwa msaada zaidi
   
 2. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani mkuu,hilo tatizo nimeshawahi kumbana nalo,na ningependa utoe jina la hiyo software uliyotumia kurekebishia hapa kwa great thinkers ili nasi tujidai na JF yetu.Kwa wale wasio na uwezo ama muda wa kufanya wenyewe,watakuona mkuu.
   
 3. s

  santiago01 New Member

  #3
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu nina simu ya blackberry verizon 9630 yenye matatizo kama yako ulivyokuwa naomba unielekeze wewe ulifanyaje au yeyote mwenye kuweza kunisaidia pliiz
   
Loading...