Wana Cuf nikiwapo mimi 2likuwa waaminifu sana kwa chama na viongozi wetu toka mwanzo wa mfumo wa vyama vingi tz!walionesha kuwa wazalendo sn,2kawaunga mkono kwny maandamano mblx2 na kpigw sn!tulijenga iman kbw nao ktk hrkati za kupigania uhai wa taifa hili!hv sasa wamejiunga na ccm na ktusahau kabs!wamekuwa wapinzani kwa wale wanaoonesha uzalendo na ksahau maslahi ya wengi!prof lipumba yuk wap?rashid mohmed yk wp?ni ccm au ni cuf?2endelee kukiamin chama hiki?je kina dhamira ya kweli ktk kupigania nchi hii?2wakatae wanafiki kama hawa waliokuwa viongozi wa cuf!cjui kama nimekosea!naomba mwongozo