Kwa wazoefu/watumiaji wa simu za samsung!

Kwa wazoefu/watumiaji wa simu za samsung!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Heshima kwenu!
naomba kujua kuna simu za samsung ambazo zinakamata internet bila matatizo zenye bei chini ya 200,000?
 
Napenda kweli, kukupa jibu sahihi lakin wapi!! kwa uwezo wa wakati huo, nlitumia Sumsung fulan bei sikumbuki ila haizi 180,000/ ilikuwa Pasua kichwa kaka. Intenet Hovyo!! Dah!! Betri sasa Nliwachukia sana Tanesco!! Ila kipenda roho kaka. Subiri wadau waje kukupa uzoefu wao!!
 
tafta samsung galaxy pocket ina range 180,000-190,000, ina run android os v2.3.6 gingerbread 3gb internal storage, cpu 832hz na ram 280mb, iko poa ata mimi naitumia
 
smu za samsung nzur znazocheza mpaka laki2 hapo ****
galaxy mini
samsung_galaxy_mini.jpg


galaxy pocket
Samsung-Galaxy-Pocket-Specs.jpg


na galaxy y
Samsung-Galaxy-Y-Front-and-Back.jpg


Ukijichanganya ununue javaphone ya samsung umeumia maana znazingua sanaaaaa
 
Back
Top Bottom