La moyoni hilo jamanii!Unadhani wanafanya kwa kupenda? Pole sana, usijitambe maana hata yeye hakupenda kuachwa ili wewe uolewe.
Kukubaliana na ukweli unaouma ni ngumu sana, jaribu kumuelewa kama ambavyo nawe unataka akuelewe.
Halafu hiyo mbona ipo wazi tu, atafatwa kwa mbwembwe atajiona pussy so good kumbe huwa ni swala la muda tu hata aliezaa alifatwa kwa gia hizo hizoUnadhani wanafanya kwa kupenda? Pole sana, usijitambe maana hata yeye hakupenda kuachwa ili wewe uolewe.
Kukubaliana na ukweli unaouma ni ngumu sana, jaribu kumuelewa kama ambavyo nawe unataka akuelewe.
Halafu hiyo mbona ipo wazi tu, atafatwa kwa mbwembwe atajiona pussy so good kumbe huwa ni swala la muda tu hata aliezaa alifatwa kwa gia hizo hizo
Teh kawaida banaMama umeongea kwa hisia kali
Teh kawaida bana
Biichwaa hilo kumbe gia tu ya kula nyapu hamna loloteHehehehehe
Nmepata picha naww ukiambiwa pussy so good unavyotabasamu
Biichwaa hilo kumbe gia tu ya kula nyapu hamna lolote
Welcome backHicho kitu kinauma mnoo, tena sana tuu jamani! Hakuna kitu kizuri kama mtoto kulelewa na baba na mama tena kwa mapenzi yote!
Hiyo hutokea lakini kufanya fujo nayo sio poa!
Naam suma
Pussy so good..so niceHalafu hiyo mbona ipo wazi tu, atafatwa kwa mbwembwe atajiona pussy so good kumbe huwa ni swala la muda tu hata aliezaa alifatwa kwa gia hizo hizo
Hv labda niseme mfano ulio hai je kama niliye zaa nae kaenda kwao namwambia arudi ataki na anamausiano na mtu mwingine ila siku akiwa na genye anakuja anapata dozi anaondoka ukimwambia rudi tulee mtoto wetu ataki ,na baadae mmekaa nae unaona anachati na hawara zake ,sasa ukaamua kutafuta mwanamke mwingine ukaamua kufunga nae ndoa hapo atalaumu kweli???
Buimchizi mpka sasa mm niko njia panda ilo jambo linanipa shida sana ,alafu mbaya ukimuuliza mzazi mwenza anakwambia nakupenda sana mme wangu, af ataki kurudi home muendelee na maisha yenu af wakati huo ana kwake na anamahusiano na mtu mwingine, yani napata tabu nimeshampa muda nimemwambia nataka nifanye maamuzi magumu so fikiria unipe jibuyani kaka umenigusa sana hata mimi ndo kinachojitokeza kwangu sasa mtu kam huyu nikiamua kuoa mwanamke mwingine si ataumia sana