KWA WAZAZI: Msaada Kwa Anayejua kwanini utosi wa mtoto hauchezi

KAJOBO

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
407
348
habar wanaaMMU!!
Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze
Natanguliza shukran
 
habar wanaaMMU!!
Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze
Natanguliza shukran
Mtoto ana umri gani? Umeuliza kwa wataalamu (madaktari) ?
Ni mda gani tokea pa ache kudunda dunda (kucheza)?
 
habar wanaaMMU!!
Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze
Natanguliza shukran
Mkuu hebu kuwa serious hv unapoishi hakuna hospital jirani? Madaktari hawatibu kwa kutumia mitandao ya kijamii peleka mtoto akachunguzwe kama kuna tatizo libainike na litatuliwe. Haya mambo ya kuulizia kila kitu kwenye mitandao matokeo yake mnaleta watoto hospital wakiwa na hali mbaya baada ya kushauriwa na kuwanywesha madawa ya kienyeji. Ww unawezadhan ana tatizo kumbe hana au analo kweli hivyo ni muhimu uchunguzi wa kitabibu ukafanywa hospital na sio hapa jf
 
habar wanaaMMU!!
Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze
Natanguliza shukran
kuna mambo yanashangaza sana yan mtu anaumwa anakuja jf kuuliza eti nitumie dawa gan??

hv ndo watz tumekua vichaa hv badala ya kwenda hospital unakuja jf kuomba ushauri

yan saa hv ni common kabsa huko insta mtu anaenda kwenye page za udaku kuomba ushaur wa magonjwa yake
 
Tuwe serious bas jaman.
 
Hakuna madhara yoyote hapo, kudunda kwa utosi kunasababishwa na ulaini wa mfupa wa mtoto. Mtoto wako amezaliwa akiwa na mfupa wa kichwa (fuvu) imara.
Kuna idadi kubwa tu ya watu wanazaliwa na maumbile tofauti na ilivyozoeleka. Naamini Mleta mada umekwisha waona madaktali na wamekuambia hakuna tatizo, ila inaonekana huwaamini wataalamu hao na unataka ukapoteze hela kwa waganga wa kienyeji. acha!
 
Jamani mm nashangaa sana mtu akiuliza jambo humu watu wanamponda sasa kwan watu wasiulize? Huenda mtu ameuliza kupanua elimu tu

Huenda tayar amefika hospital akapata matibabu lkn pia sio vibaya mtu kuongeza na kupanua ujuzi kupitia hapa
Tuache kuwa wa ajabu

Muuliza swali usjali wapo watu wanajua watasema hapa so ww subir waje
 
habar wanaaMMU!!
Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze
Natanguliza shukran

usipende kukimbilia maisha ya mwanao, yeye kama ubongo wake hauchezi basi kuwa na raha kwani huyo mwanao hana stress za maisha.
 
Back
Top Bottom