Kwa watumiaji wa Macbook pro

Elon Mzebuluni

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
226
Reaction score
145
habari za majukumu wazee,natumaini mu wazimaa?

msaada kwenye tuta.....
mimi natumia macbook pro 8,1 naomba msaada wa jinsi au namna ya kuconnect macbook pro 8,1 kwenye modem,nimeangaika sana kugoogle lakini wapi sijafanikiwa,kwa wataalamu msaada tafadhali

Asante..!!!!
 
Ukishaichomeka modem kwenye hiyo Mac litakuja file kwenye desktop (installer) humo ndani kuna hiyo setup. Copy hilo file kwenda kwenye Application folder unakuwa umemaliza. Sijawahi kukwama hivyo nahisi ni modem zote zina support Os X.
 
asante mkuu ngoja nijaribu nitakupa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…