Kwa watanganyika wote. Dctd.

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Kwa
nini jambo baya likitokea znz watanganyika wanalipapia utafkiria
halijawahipo kutoke dunian ? Wakati UFIRAAUNI unaofanyika tanganyika
bilisi anauogopa. kwa mfano mauaji ya albino, mauaji ya vikongwe, wizi umehalalishwa, kula mizoga ya homa la bonde la ufa, chokoraa wanaongezeka, omba omba N.k.
 
Lakin kitu kidogn kikitoke znz litavamiwa apo vyombo vyote vya habar, vyombo vya ulizi mpaka utajuta kuwa mznz kama hujajua ukweli, wakati wao m2 kumuwa mwezake kwa ki2 kidogo tu ni jambo la kawaida.
 
Hiyo ndugu ni ile wanasema wahenga binadamu akila samaki wala sio tabu ila sasa huyo samaki akila yeye atasakwa huyo na kusakamwa.
 
Mimi kama ni mzanzibari nawashukuru wale Watanganyika wenye muelewa mzuri kwa Zanzibar.
 
mimi nawapenda wazanzibari kwa upole wao na kua na staha. na kutokua walevi
 
Wanzazibar ni watu wakarimu sana ila sielewi ktk miaka hii kimewapata nini mpaka wamegeuka na kuwa wauwaji hodari.
 

Upo sahihi
 
Tuwasamehe bure, mpk hapa dunia ilipo hawajielewi.
 

kila kitu kimechelewa kufika Tanganyika ni ulimbukeni
 
Umeongea kweli Mimi mwenyewe sometime nakataa kuingia humu because watanganyika kazi Yao kutushambulia tu
 
Tusilaumiane,dunia hii toka iumbwe matukio hayo yalikuwapo.Sisi ni warithi wa hayo yaliyopo,mema na mabaya.Kama kuna baya jipya au dhambi mpya nijuzeni mwenzenu.Tunachotakiwa kufanya tuombeane kwa Mola Mioyo yetu irudi kwenye ubinadamu!
 
Wanzazibar ni watu wakarimu sana ila sielewi ktk miaka hii kimewapata nini mpaka wamegeuka na kuwa wauwaji hodari.
Iangalie tathmini yako vizuri ukifuatilia muktadha wa mleta hoja ni kwamba makosa /jinai hutokea pande zote mbili linalosumbua ni kwamba kwa upande wa tanganyika tukio baya hata litokee mara mia ,halitiwi midomoni sana bali huwa ni taarifa ya kupita kama gumzo la kawaida ,ila tukio hilo likitokea mara moja tu zanzibar ,ghafla moja zanzibar inakuwa sehemu hatari sana na wazanzibari ni watu hatari! hapo ndipo kwenye masikitiko na mshangao wetu na endapo tungeamua kuishi kama mnavyotutuhumu sidhani kama mngethubutu kutia maguu zenji kiukweli hakuna mgeni tusiye mjua si kwa sura tu pia wapi anakotoka je nyie mnamjua kila mgeni mnayeishi nae huko?tunachoomba tupunguze chuki na kebehi na watu wajifunze ustaarabu!
 
Watu wa Zanzibar,mnapotaja Tanganyika,mfahamu Tanganyika imegawanyika,iko Bara na ipo Pwani,hao wanaowasema ni wa Bara,sio wa Pwani.
 

kwa sababu ya idadi yenu, yaani mpo almost 1M, halafu ubaya wenu ufanane na sisi wa Tanganyika 43M... Siyo la kushangaza hilo..???
 
kwa sababu ya idadi
yenu, yaani mpo almost 1M, halafu ubaya wenu ufanane na sisi wa
Tanganyika 43M... Siyo la kushangaza hilo..???

Duh kwa mujib wa pwenty yako ingalikua China na India hakukaliki, we kweli dege jeusi.
 
Lakin kitu kidogn kikitoke znz litavamiwa apo vyombo vyote vya habar, vyombo vya ulizi mpaka utajuta kuwa mznz kama hujajua ukweli, wakati wao m2 kumuwa mwezake kwa ki2 kidogo tu ni jambo la kawainya yada.
Inaweza kuumia lakini labda matukio hayo hayakuwa mengi zamani.watu wanataharuki imekuwaje? muhimu ni kufikiria ni njia gani ilimradi yasitokee. Pamoja kuwa mauaji si mazuri lkn inafika wakati kuna baadhi ya nchi vifo ni kama vinaanza kuzoeleka, mjitahidi msifike huko. na kuzingatia idadi. mh sijui lkn nimtazamo wangu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…