luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 1, 2024 #1 Wadau habari Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
Wadau habari Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
halley from city Member Joined Jan 22, 2019 Posts 88 Reaction score 74 Feb 1, 2024 #2 Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini?
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,561 Feb 2, 2024 #3 Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive. Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu
Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive. Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 2, 2024 Thread starter #4 halley from city said: Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini? Click to expand... Quality ya picture kwa hii lenz naona kama ni very low
halley from city said: Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini? Click to expand... Quality ya picture kwa hii lenz naona kama ni very low
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 2, 2024 Thread starter #5 halley from city said: Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini? Click to expand... Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri Aparture ngapi Shutter speed ngap ISO ngapi
halley from city said: Ni lensi kali tu, Sema na wewe hujasema unataka tip gani.. Uzito? Quality ya picha au nini? Click to expand... Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri Aparture ngapi Shutter speed ngap ISO ngapi
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 2, 2024 Thread starter #6 African Geek said: Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive. Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu Click to expand... Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan
African Geek said: Ni lens nzuri sana kwa kuanzia. Zinafungua mwanga, auto focus nzuri na pia sio expensive. Hii ndo ilikua lens yangu ya kwanza nilipoanza kufanya photography na ilibadilisha sana kazi zangu Click to expand... Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,561 Feb 2, 2024 #7 luangalila said: Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan Click to expand... Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za Sigma
luangalila said: Ulivyotoka ktk lens hii then ukaanza kutumia lens gan Click to expand... Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za Sigma
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 2, 2024 Thread starter #8 African Geek said: Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za Sigma Click to expand... Okay,
African Geek said: Lens tofauti tofauti. Ila kama mfukoni upo vizuri chukua lens za Sigma Click to expand... Okay,
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,164 Feb 3, 2024 #9 luangalila said: Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri Aparture ngapi Shutter speed ngap ISO ngapi Click to expand... Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ?
luangalila said: Mfano ww huwa unatumia mode gan kipata picha nzuri Aparture ngapi Shutter speed ngap ISO ngapi Click to expand... Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ?
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Feb 3, 2024 Thread starter #10 snipa said: Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ? Click to expand... πππ. sawa mkuu
snipa said: Jifunze Tena photography mana unachokiuliza hukielewi, unaulizaje iso wakati inategemeana na condition iliyopo ? Click to expand... πππ. sawa mkuu