ukubwa wa engine, 4, 6, 8 cylinders unachangia fuel consumption pia ila ukiangalia km/litre mara nyingine unaweza pata gari ya 4 cylinder inatumia mafuta same na 6 cylinder kutokana na condition ya engine..mfano Toyota Landcruiser mpya ya 4200cc inaweza kwenda mpaka 10km/litre na ukapata Toyota Saloon ya 2000cc ikaenda same mileage, kwahiyo vitu vya kuangalia ni condition ya engine, uendeshaji wa gari..mfano unatumia v6 or v8 kwenye traffic jam za mijini consumption itakuwa kubwa sana lakini ukienda long trip kusipokuwa na traffic jam consumption itakuwa kubwa au kuendesha gari kwenye mipando unakuta mtu anaongeza acceleration mpaka revolution ya engine inafika 4000rpm ili hali ungepanda taratibu au kwenye mteremko unatumia gear ndo (kama gari ya manual) wakati ungeweza kutumia gear no.3 na kuendelea.