Kwa wasikilizaji wa Clouds FM the People's Station Mnisaidie hili

jingles za clouda anapiga jamaa mmoja anaitwa PATRICK ata jingles zote za maombolezo kapiga
 
zamani sana mkuu labda nilikua bado sijazaliwa,coz nilianza kuskiliza clouds nikiwa darasa la5 enzi za Emmanuel Likuda,Mussa Hussein,Kibonde na Wasiwasi mwabulambo pale Jahazini,XXL ina kina Dozen,Dj Fetty,Mchomvu,Dee andy na Dj stevie B,Leo tena ina Dina Mario, Ghea kabla ya hawa kina Jose Mara uku Powerbreakfast ikiwa na Babra hassan,Gerrard Hando na PJ,Top20 ni Millard Ayo.Ray Mshana na Dee Andy wana kipindi cha Total Request,Pia Perfect Crispin anakipindi cha Klabu10,,So sijaanza zamani sana Nilianza miaka ya 2009/10 up to now.
mkuu inabidi uwe unamkia aisee
 
Huyu jamaa anaitwa Patrick, niliwahi kuwa mdadisi kama wewe juu yake. Patrick amewahi pia kuigiza kwenye Siri ya Mtungi alikuwa karibu sana na Cheche, pia sauti yake inasikika kwenye tamthilia ya Sultan inayoruka Azam Tv.

Kuhusu ile jingo nyingine ya zamani ya "KLAAAAUZ EFEEEM" ile ni sauti ya mtangazaji mmoja wa Choice Fm enzi hizo sidhani kama yupo hadi sasa, anaitwa Chriss, kwa wasikilizaji wa Choice Fm enzi inatumia kiingereza nadhani watakuwa wanamfahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayupo ktk picha yoyote kati ya hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaweza kukubaliana nawe mkuu kwa sababu nilimuona siku moja tu live kwenye show tena miaka miwili iliyopita sura yake siikumbuki kivile ila jamaa wa hapo pichani anafanana nae, ninachokumbuka vizuri ni mweusi, sura ya ucheshi, mfupi, sio mwembamba bonge fulani hivi ila sio kivile ndo hivyo tu ila mkuu weka picha yake huyo unayomsema ndo yeye
 
Ni sauti ya kati ya hawa watu wawili,Razalo matalange au Georg Jokopa.halaf nikumbushie,G.Jokopa Ilikuwa na kipindi kinaitwa jicho LETU jmos asubuh,jamaa anajua sana mambo ya ulimwengu wa siasa za nje na historia kwa ujmla
captain ni George Njogopa sio "Jokopa" jamaa yupo BBC muda sana Af sauti ya Njogopa na hii unayoiskia ni tofauti at least ungeifananisha na Raymond aliekwenda Wasafi kidogo ungeelekea kupatia
 
ile sauti ya Cloooouuuuudss fm, ni ya M L Chriss ila iliondolewa kwasababu jamaa aliondoka kituo kile mambo ya copyright wakaondoa ile jingle,

hiyo sauti unayoisema, siyo ya Lugoe, na mwanzo mimi nilijua ni ya DJ VENTURE ila bado sijathibitisha
Huyo ML ndie Michael Lukindo au nani mkuu
 
captain ni George Njogopa sio "Jokopa" jamaa yupo BBC muda sana Af sauti ya Njogopa na hii unayoiskia ni tofauti at least ungeifananisha na Raymond aliekwenda Wasafi kidogo ungeelekea kupatia
Hahahaha, mkuu George Njogopa alikua redio moja ya China inarusha matangazo kwa kiswahili na sasa nadhani yuko VOA

MTC | 101|
 
captain ni George Njogopa sio "Jokopa" jamaa yupo BBC muda sana Af sauti ya Njogopa na hii unayoiskia ni tofauti at least ungeifananisha na Raymond aliekwenda Wasafi kidogo ungeelekea kupatia

yule n razalo matalange
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom