F filonos JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 646 Reaction score 137 Nov 2, 2012 #21 Mwana Mtoka Pabaya said: Mi nilidhani ni dhambi ya peke yangu. Haya sasa unifundishage na kutoka nje ya ndoa mkuu Click to expand... duuuuuu...DHABI SAKO MWENYEWEEEEE!!!!!!!!!
Mwana Mtoka Pabaya said: Mi nilidhani ni dhambi ya peke yangu. Haya sasa unifundishage na kutoka nje ya ndoa mkuu Click to expand... duuuuuu...DHABI SAKO MWENYEWEEEEE!!!!!!!!!
P profesa.n. Member Joined Apr 23, 2012 Posts 84 Reaction score 58 Nov 2, 2012 #22 Mimi tai ni mpaka harusi, so i dont worry
D DadyJ Member Joined Aug 14, 2012 Posts 69 Reaction score 12 Nov 2, 2012 #23 Mkuu Safi Sana kwa hiyo elimu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Nov 2, 2012 #24 Ndio maana sipendi kuvaa tai, maana kufunga ni ishu.
mathcom JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,396 Reaction score 519 Nov 2, 2012 #25 popiexo said: Najua ni tatizo la wengi View attachment 70030 Click to expand... Ambao mambo yao ndiyo watajifunza na kuvaa. sisi wengine tumeshaacha kuvaa mambo yametuzidi, majukumu, ujenzi wa taifa japo kuta za karatasi! n.k.
popiexo said: Najua ni tatizo la wengi View attachment 70030 Click to expand... Ambao mambo yao ndiyo watajifunza na kuvaa. sisi wengine tumeshaacha kuvaa mambo yametuzidi, majukumu, ujenzi wa taifa japo kuta za karatasi! n.k.
SaidAlly JF-Expert Member Joined Jan 22, 2011 Posts 2,375 Reaction score 2,314 Nov 2, 2012 #26 Mwana Mtoka Pabaya said: ........Haya sasa unifundishage na kutoka nje ya ndoa mkuu.......... Click to expand... Kweli wewe ni Mtoka Pabaya.
Mwana Mtoka Pabaya said: ........Haya sasa unifundishage na kutoka nje ya ndoa mkuu.......... Click to expand... Kweli wewe ni Mtoka Pabaya.
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Nov 2, 2012 #27 mkuu thax nlikuwa nimesahau miak mng kpnd hcho npo fm2 mosh tech. nkienda church kla j2 kufka fm3 nmesahau had leo
mkuu thax nlikuwa nimesahau miak mng kpnd hcho npo fm2 mosh tech. nkienda church kla j2 kufka fm3 nmesahau had leo
K kilumbi Member Joined Oct 9, 2012 Posts 24 Reaction score 4 Nov 2, 2012 #28 Ahsante kwa kunitoa tongotongo...
R Ray2012 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 231 Reaction score 28 Nov 2, 2012 #29 Ee bwana walah mie binti yangu wa darasa la tano academy kufunga hiyo kitu pasaka!