Kwa wapenzi wa arsenal

Kwa wapenzi wa arsenal

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
768
Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello mcmu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata akahama, kapteni fabrigas alipo hamia tena barca kocha wao tena pep
guadriola akahama, na sasa kapteni van
pasie kaenda man u, fargason nae
anasepa. Kumbe wachezaji wa arsenal
wanagundu
 
So what!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wangekuwa na gundu timu walizoenda zisingechukua makombe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom