ndo nini kututenga ambao hatujaolewa?
hata sisi tunawanaume jameni....
Yawezekana hajui kama mbuyu ulianza kama mchicha!
Napenda sana anaponifanyia Kagera Technology (KATERERO) Huwa nachukia akirudi home na kusema nimeshiba sijiskii kula..damn!
mie hata sijui nikipendacho au nikichukiacho.
nipo tu
mie hata sijui nikipendacho au nikichukiacho.
nipo tu
We si ndio ulisema kuwa huwa unamegwa kisela huko nje? Nadhani hao wamegaji wa nje wameshakunyutrolaizi 🙂
mh Ayanda majanga hayo. Na upo unaendelea na ndoa?
simegwi kisela na watu! tunapeana raha na mume wa mtu
Labda hataki michango ya nyumba ndogo na wenye vi-boi fendi au vi-mani frendi na ambao bado hamjaapa mbele ya yeyote... Kuna ubaguzi mwingine unakubalika kutegemeana na nini unatakando nini kututenga ambao hatujaolewa?
hata sisi tunawanaume jameni....
Kama komenti zako ndo hizi, basi we endelea kumegwa kisela... vipi kama vyooteee anavyovifanya huvipendi? Kuna ndoa/mapenzi hapo kweli...??kwani what has my likes or dislikes have to do with my marriage?
ndoa ni ndoa na mapenzi ni mapenzi.