Mm mwanamke nimesoma sana,ndo mkome,huyo mwanamke shujaa jamaa atatulia hme kwake!
jamani husikii!:d
Wala sielewi,kwani si nna kaka na mafriend men!so lazima nisome ili niwaambie
dah stori kama izi zinafaa ijumaa!! Kama mlioga pamoja asubuhi utakua huna la kusema!
hhehee sasa utawaambia lipi.,...wasikubali kunyolewa nje ya kiwanja cha nyumbani, au namna ya kudanganya litakapobumbuluka!:d
Bishanga said:Kwa wanaume tu!
Currently Active Users Viewing This Thread: 11 (8 members and 3 guests)
Baba_Enock, Ambassador, BabaK, GP, Kaizer, Lily Flower, Mfamaji, MwanajamiiOne
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.
Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'
Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'
Eh kumbe waliulizwa wanaume!!
Ntamuambia awe anaona aibu kumvul;ia kila mtu,amvulie alienae tu maana akivua kwa kila mtu hajiaibishi yy tu bali na yule alienae,ona sasa huyo poyoyo alikuwa hajanyoa!
mh!!!!
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?
umehusikaje huku na wewe????????????
utashangaaaaaaaaa
na mwingine huyu lol!!!!Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.
Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'
Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'
Eh kumbe waliulizwa wanaume!!
inakuhuuu......mm mwanamke nimesoma sana,ndo mkome,huyo mwanamke shujaa jamaa atatulia hme kwake!