ko hii jinsia nyingine hatutakiwi kusema chochote?
cos in one way or another tunahusika katika hiyo ishu
Of course majibu yenu yatakuwa biased, nasidhani kama wakati mnafanya huwa mnaangalia side effect kwa upande wa pili (kama zipo)
Unamaanisha nimesababisha nipoteze comments zako au vipi?
umenifumba mdomo ngoja nipite kimya.
ila ajua kila kitu kwenye hoja hii.
umenifumba mdomo ngoja nipite kimya.
ila ajua kila kitu kwenye hoja hii.
Kuna kijana hapa nammentor kaniuliza swali ambalo limekuwa gumu kwangu sababu sijawahi experience hii kitu, anadai anahisi girl friend wake anatumia ama materials au chemicals zinazofanya uke wake ubane kiasi kwanza wakati wa kumuingilia analazimika kutumia nguvu sana kiasi cha kupata maumivu makali, sasa anadai kuna kipindi inakuwa hivyo na kunakipind likely ambacho binti ajachakachua kitu inakuwa kama vile maji yaani ni chubwi ndani, anauliza kama hii haiwezi kumletea madhara.
wenye uelewa naomba msaada.
Ungepita kimya kimya ingekuwa busara zaidi
Hapana mkuu, kijana anakufa kisabuni bado.