Kwa Wanaume tu

Pole sana mku.
 
Ningechangia lakini nilipoona tu kuwa umetumia neno " TUJUZANE " am OUT. Ya Wazenji nawaachia Wazenji, Mimi siyo Fruitcake nianze kuchangia mada zenye maneno kama " TUJUZANE " halafu unasema hii topic ni kwa " WANAUME TU "
Badili Heading isome " ONLY FRUITCAKES "
 
Your not out mkuu, umesha changia kwa namnayako na unaheshimiwa kwa kutumia uhuruwako wa kuamua kusema unacho taka.
 
Hiyo ya pili hakika ulimpanga akapangikaπŸ˜‚
 
Mimi kipindi nilikuwa nadate na mademu wengi nilichanganya Sana madesa acheni tu πŸ˜‚
 
Muda wa kuchat mnatoa wapi wenzetu?
Maisha ni marahisi sana mkuu, mudawowotetu unaweza kushea jambo na Wadau humu, adjust muda kidogo tu kama huo uliopata kukoment hapo unatosha kabisa kupunguza stress.
 
Nishawahi mtaja Esther badala ya Rachel wakat wa mnyukano kesi ilikuwa ngumu sana japo nilikuwa karibu kukochoa ndo ivo tena tukakaa kikao cha ghafla ku solve kwanza.

Nilishikilia msimamo mimi nishakuambia nikuite Esther hutaki wakati ndo jina napenda!!
 
Uli sort out kibabe sana mkuu.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…