😂😂😂Andika hivi👇
“Umeona eeh, najua ulidhani nilikosea, kumbe nilitaka tu nikupime kama unanisoma kwa makini .”
Achana na mapenziWakuu,tupeane vesi za kujinasua katika wakati mgumu.
Hivi umewai kuchati na madem wawili kwa wakati mmoja,alafu ukakosea ukachanganya msg ya Dem A ukamtumia B.
Alafu msg yenyewe ikawa ngumungumu kidog, duuh!.
Tujuzane humu jinsi ya kufix hasira za hawawatu,nina missing call 60 ndani ya dakika 20.
Kila stori ninayotaka kuiunganisha na hii msj apa Ili ionekane kwamba nilimtumia yeye inabuma naona ntazidi kuharibu.
Mwanamke ukimvuruga ndio ananyookaWejamaa, sio rahisi kama unavyo fikiri, .
Nimtu ambae sikutaka kumvuruga.