Mie mwanaume ila nimeshindwa kukuelewaKama wewe ni Mwanaume utanielewa Tu,Pole sana dada.
Asante sana ila hiyo miguu ya mke wangu.....Una miguu mizuri....
HahahaaaaMie mwanaume ila nimeshindwa kukuelewa
Kwa cc wanaume tushajua chakufanya we kaa pembenuSasa ulivyosema kwa wanaume tu sasa wakija kwenye hii thread yako wachangie nini?Au umewaita wasome story yako au wakusaidieje?
Aiseee kumbe hadi kiswahili ni kigumu eeeh!Kwa cc wanaume tushajua chakufanya we kaa pembenu
Naona umeamua kutimia hadi username yake.Asante sana ila hiyo miguu ya mke wangu.....
Acha kumdanganya ameharibu VP wakati ...ni ukwel usiopingikq nyie mnapenda vya kupewa ndo maana mnachezewa tuu kirahisi...mwanaume akiwa loyal saana atateseka ...nyie dawa yenu n uwongo mwingiKwa hiyo umekosa njia nyingine ya kufanya kwa taarifa yako hapo ndio umeharibu kabisa.
Mana mwisho atakuona bonge la msanii na ndio utakuwa umempoteza kabisaa
Mahaba niue a.k.a mahaba mubasharaaaaaNaona umeamua kutimia hadi username yake.
Inatakiwa uangalie na uongo wenyewe sasa huo alioufanya huyo mwenzio una faida au hasara?Acha kumdanganya ameharibu VP wakati ...ni ukwel usiopingikq nyie mnapenda vya kupewa ndo maana mnachezewa tuu kirahisi...mwanaume akiwa loyal saana atateseka ...nyie dawa yenu n uwongo mwingi