Kwa wanaume tu-offer ya wkend


Wanawake wengi ni wabinafsi sana... mwanaume yuko busy anatafuta mkwanja.....anampatia mke pesa kuazia ya vocha mpaka ya shopping..... lakini cha kushangaza mwanamke akienda kwenye hayo maduka ya nguo hata kumchagulia mzee kapea ka soksi anaona shida..anajinunulia tu mwenyewe labda na watoto......utakuta mme wake yuko vululu vululu hatamanishi kuanzia harufu ya mdomoni mpaka nguo...... Smile kama unatafuta mchumba kuwa makini maana wanaume wanaonukiaga sanaa...na wasafi sanaaa wengi wao sio rizki...au kuna kitu wanaficha. Mwanaume lazima uwe na kaarufu ka kiume bana...simaanishi kunuka.
 
hapo boldi umenigusa..kila wkend huwa nanunua chupi mpya from now nitanunua na ya nanihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…