Wanawake wa kwny mtandao watamu eti
Speaking from experience?
Mkuu nashukuru sana kwa kuuliza hili swali maana huwa najiuliza kila siku.....ndio maana huwa nashawishika kuamini kwamba wengi wao ni matapeli hawana shida ya wachumba wala wasebule
Ofcourse
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
Na wanaume nao hivyo hivyo?
Mkuu nashukuru sana kwa kuuliza hili swali maana huwa najiuliza kila siku.....ndio maana huwa nashawishika kuamini kwamba wengi wao ni matapeli hawana shida ya wachumba wala wasebule
Not necessarly HE COMES FROM DIFF BACK GROUND REMEMBER! Hawezi kuwa sawa kimtazamo na sie! TO FREE YOURSELF FROM VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU NEED A PASS TO THE OTHER SIDE WHERE THE GRASS IS ALWAYS GREENER REGARDLESS OF THE SEASON!Huyo wa kwenye mtandao pia ukishamzoea unamuona the same as unavyomuona wa mtaani au sehemu ya kazi unles otherwise u a luking for one night stand.
Swali la kitoto hili....online attraction is very unique...ina involve zaidi personality na brain...mtu anakuvutia kwa anayoyaongea akiwa very free since yuko anonymous....hujui huyo mtu ni professa au ni Secretary ..mtaani utam judge mtu na kabila lake au kazi yake..Attraction is not a choice