Kwa wanaume: Ikikuuma potezea tu

Hiyo inwahusu wanaume wa Dar es Salaam sisi huku nani avae kasurali ka kubana mapaja?
 
hongera mkuuu kwa neno la busara mungu akupe afya na maisha marefu ...baba bora wa familia umejawa hekima na busara ...
 
Tatizo ni pale tunapolazimishana kuwa real kwa wanawake fake. Spouse wangu akiwa real nitakuwa real lakini asitegemee niwe real wakati yeye ni fake kuanzia kucha mpaka tabia hapo hata nyumbani hataniona maana kila nikimwangalia atanikera...
 

Pokea Likes 1000....!!!!!
 
Daaah, wasipokuelewa tena baaasi. Wanaume mkuje hukuu
 
Exactly !! Mm nina 22 yrs old lakini UPUMBAVU km huo nauchukia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…