Mr Gudraph
Member
- Oct 2, 2018
- 22
- 6
Ninshida na pc natakununua laptop ila cjui laptop ipi ni nzuri na ina sifa gani na ubora wake kwa ujumla.
kwa wanaofaham naomba wanijuze
kwa wanaofaham naomba wanijuze
Ni kwa matumizi ya chuo tu ambapo nitakuwa na dili sana na internet pamoja na mambo mengine ya ziadahapo inatakiwa tujue wewe unataka laptop kwa matumizi gan ? pili ukituambia unabajeti ya sh ngap ? nazan tutaweza kukusaidia
Mh!!! maana yake nini?Nlitaka nishangae kwa kiswahili hiki afu uwe unajua pc....
kwa mpya hapo umechemka, labda mtumba na bado uko kwenye hatari ya kuuziwa mbovu kama hautakuwa makini.Ni kwa matumizi ya chuo tu ambapo nitakuwa na dili sana na internet pamoja na mambo mengine ya ziada
Ila nina kama lak 3 hv
Naxhukuru mkuu, kwhy hzo za mtumba nazipataje sasa hasahasa Dell af nipo dodoma mjinikwa mpya hapo umechemka, labda mtumba na bado uko kwenye hatari ya kuuziwa mbovu kama hautakuwa makini.
Hapo nafuta Dell au Hp used, yenye at least 500gb hdd, 4gb ram (ikipungua kidogo si mbaya kama ni ishu za kusomea tu).
Ila kama ni mtu wa video games na ishu kama hizo, itakugharimu kuongeza hela.
Ukiingia kupatana site, hapo na cheji inabaki.
Naxhukuru mkuu, kwhy hzo za mtumba nazipataje sasa hasahasa Dell af nipo dodoma mjini
Mkuu kuna duka dodoma pale nyuma barabara ya 6 nadhani zinapatikana used wanatoa na risiti + waranty ya mwaka 1Naxhukuru mkuu, kwhy hzo za mtumba nazipataje sasa hasahasa Dell af nipo dodoma mjini
Pia kama upo udom au sjut au mipango zinauzwa sana tu huko ila kuwa makini mno kuna jamaa wanauzaga makopo tuNaxhukuru mkuu, kwhy hzo za mtumba nazipataje sasa hasahasa Dell af nipo dodoma mjini