monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,243
- 11,421
hili ni genge la matapeli na wapigaji
Mkuu hicho kiwanja bei gani?Njoo mbez msumi nikupe kiwanja kwa bei chee mita 20 kwa 23 kiwanja kipo kwenye tambalale na pia kipo jiran na shule ya secondary mbopo umeme upo jiran pia maji ya bomba ya Dawasco limepita jiran na maeneo hayoo
Milioni 6 hakuna udalali hapo mim ndo mwenye kiwanjaMkuu hicho kiwanja bei gani?