Kwa wanaouza viwanja tukatane hapa

Kwa wanaouza viwanja tukatane hapa

kifaduro

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
220
Reaction score
192
Natafuta kiwanja maeneo ya dar au nje ya mji kidgo.asante
 
Nauza viwanja Dodoma chamwno ikulu kwa mzee maguful, kwa bei nafuu namba yangu ni 0659507298
 
Natafuta kiwanja maeneo ya dar au nje ya mji kidgo.asante
img_20150624_113219-1-jpg.644576


img_20150624_113153-3-1-jpg.644582



6.5m, chanika mwisho zogo ali, kwa installments, mazungumzo yapo, simu 0716411720
 
Ninacho kiwanja Chanika Nzasa bei Milioni moja
 
Nina kingine bei Milioni na laki mbili kwa mawasiliano nicheck 0718239997
 
Natafuta kiwanja maeneo ya dar au nje ya mji kidgo.asante
Njoo mbez msumi nikupe kiwanja kwa bei chee mita 20 kwa 23 kiwanja kipo kwenye tambalale na pia kipo jiran na shule ya secondary mbopo umeme upo jiran pia maji ya bomba ya Dawasco limepita jiran na maeneo hayoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom