Hapana kama hujalipa ada mambo hayatakuwa mteremko hata kidogo. Wanafunzi wanaopata shida sana wengi wao ama wanalelewa na mzazi mmoja tu, hawana wazazi, wazazi wao ni wazee sana, wanategemea kulima mahindi ambayo hayana bei au wazazi wao wanakwaruzana mara kwa mara kwa mambo yao ya kifamilia.Tatizo kubwa hapa n kukosekana kwa taarfa sahih tangu ukiwa advance kwa maana wengi wanafikiri ukifka Chuo mambo mteremko tuu kama enzi za akna JK
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona taarifa yako haielezi ukweli wote na kwa kiasi fulani inatishia waombaji. Siyo wote watakao isoma kwa umakini unaotakiwa. Ada za vyuo hivi zina range kubwa kutegemea unakwenda kusoma nini. Kuna koozi ambazo ada ni sawa na vyuo vya serikali na zipo ambazo ada iko juu kupita vyuo vya serikali. Cha kusisitiza waombaji wahakikishe wanauwezo wa kulipa ada husika. Na hata wale wanaokwenda vyuo vya serikali sio wote wanapata mkopo-na ni wengi wanaokosa siku hizi hivyo angalizo lako huko pia linatakiwa upande huo.Hivi ni vile vyuo ambavyo hata ukipewa 3,100,000 na bodi ya mikopo lazima pia uongeze hadi 4,000,000 kutoka mfukoni kwako kuongezea kwenye fee.
Jiulize mara tatu tatu kama familia yako itamudu kulipa kwa wakati 7,000,000 kwa mwaka bila mkopo au 4,000,000 kwa kuchanganya na mkopo vinginevyo tafuta chuo cha kusoma Diploma tu yaishe.
Hata mimi sikuelewa LoLWENGI HAWAELEWI
soma vizuri taarifa yangu, niliposema ......hadi 4,000,000 nilimaanisha "range" kutoka 0-4,000,000. kaka vyuo vya private vingi havisemi ukweli au waombaji wenyewe hawaufahamu ukweli wa mambo. Wako waombaji ambao wanadhani wakipata mkopo kwa 100% basi unatosha kusoma kwenye chuo husika. Na hapo ndiyo shida inapoanzia, mwanafunzi kapewa mkopo kwa 100% lakini anaambiwa alipe tena hadi sh. 4,000,000 au zaidi nyingine kutoka kwa wazazi wake. Pamoja kwamba chuo kimeupokea mkopo wake na wameutumia kuendeshea chuo lakini huyu mwanafunzi bado chamoto kama nilivyosema anakiona, yaana ni kama hajalipa kitu chochote kile pale shuleni.Mkuu naona taarifa yako haielezi ukweli wote na kwa kiasi fulani inatishia waombaji. Siyo wote watakao isoma kwa umakini unaotakiwa. Ada za vyuo hivi zina range kubwa kutegemea unakwenda kusoma nini. Kuna koozi ambazo ada ni sawa na vyuo vya serikali na zipo ambazo ada iko juu kupita vyuo vya serikali. Cha kusisitiza waombaji wahakikishe wanauwezo wa kulipa ada husika. Na hata wale wanaokwenda vyuo vya serikali sio wote wanapata mkopo-na ni wengi wanaokosa siku hizi hivyo angalizo lako huko pia linatakiwa upande huo.
Hayo 10 uliyo orodhesha hutokea pia vyuo vya umma kama muda wa kulipa ada ukipita nawe hujalipa. Nakumbuka vijana wa SUA ambao walichelewa kulipa ada na walipo banwa wakati wa mitihani, malipo yao yalidunda ikabidi warudie mwaka.
Hata mimi sikuelewa LoL
Nimekusoma vizuri sana na ndiyo maana nimesema "Siyo wote watakao isoma kwa umakini unaotakiwa". Ni muhimu kupitia fee structure ya chuo unachochagua.soma vizuri taarifa yangu, niliposema ......hadi 4,000,000 nilimaanisha "range" kutoka 0-4,000,000. kaka vyuo vya private vingi havisemi ukweli au waombaji wenyewe hawaufahamu ukweli wa mambo. Wako waombaji ambao wanadhani wakipata mkopo kwa 100% basi unatosha kusoma kwenye chuo husika. Na hapo ndiyo shida inapoanzia, mwanafunzi kapewa mkopo kwa 100% lakini anaambiwa alipe tena hadi sh. 4,000,000 au zaidi nyingine kutoka kwa wazazi wake. Pamoja kwamba chuo kimeupokea mkopo wake na wameutumia kuendeshea chuo lakini huyu mwanafunzi bado chamoto kama nilivyosema anakiona, yaana ni kama hajalipa kitu chochote kile pale shuleni.
Kweli kabisa, hapo ndipo chimbuko la tatizo linapoanzia. Vyuo vingi vinapotoa matangazo yao kwenye magazeti, redio na luninga ambazo hata wazazi wa kawaida wanaweza kuyasikiliza na kuyaelewa kwa ufasaha huwa hawaweki taarifa juu ya ada za vyuo vyao na namna ya kuilipa na hatua zitakazochukuliwa kwa asiyelipa.Nimekusoma vizuri sana na ndiyo maana nimesema "Siyo wote watakao isoma kwa umakini unaotakiwa". Ni muhimu kupitia fee structure ya chuo unachochagua.
Mwanzo TCU kwenye guide book zao walikua wanaweka ada ya kila course na cut off point za mwaka uliyopita vitu ambavyo ni vya msaada lakini takribani miaka 2-3 iliyopita wameacha hilo. Lakini kama msimamizi wa udahili wangefanya hima kutoa taarifa hizo .Kweli kabisa, hapo ndipo chimbuko la tatizo linapoanzia. Vyuo vingingi vinapotoa matangazo yao kwenye magazeti, redio na luninga ambazo hata wazazi wa kawaida wanaweza kuyasikiliza na kuyaelewa kwa ufasaha huwa hawaweki taarifa juu ya ada za vyuo vyao na namna ya kuilipa na hatua zitakazochukuliwa kwa asiyelipa.
Mara nyingi taarifa kuhusu ada za vyuo ziko kwenye internet (TCU website, tovuti za vyuo, facebook, nk) ambako wazazi wengi hawana uwezo wa kuzi access. Hivyo, vijana hawawambii ukweli wazazi wao kuhusu ada hizo kwa kuogopa kuwashitua wazazi wao na kukosa kupata chuo. Na baadhi ya vijana huko wilayani hawaelewi kabisa na wala kwenye maonyesho ya vyuo vikuu hawaendi.