Naomba mawazo yenu hapa. Mtu ambaye amemjua Mungu na kuwa na Yesu maishani mwake bado anahitaji kwenda kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji? Jibu lako liambatane na sababu.
Futa hii post kwa sababu inajirudia. Tumeshakusoma kwenye ile ya kwanza, sasa wacha watu wachangie lakini sio kudupliketi mada. Unatupotezea muda, ingawa mada yako ni nzuri!