Habari wakuu
Naomba msaada wa maelekezo. Nimenunua Huawei E5330 mobile WIFI.
NImeweza ku connect kupitia laptop yangu na wifi inakuwa connected vizuri tu lakini Tatizo linakuja ukitaka kuperuzi/access internet inagoma kabisa.
Nimejaribu ku ran windows diagnostic test inaniambia " the DNS isnt responding"..
Ila kupitia simu inaweza kuconnect bila tatizo lolote .
Naomba msaada wanamna naweza kufanikiwa kutatua hilo tatizo ili niweze ku access kwenye laptop
Asanteni.