Kwa wanao tafuta Nyumba ya kupanga.

kideko

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
296
217
Nyumba inapangishwa buza kwa lulenge, ina vyumba viwili kimoja masters , jiko na choo , juu gipsmu na RANGI nzuri Nyumba ni mpya haijawahi kukaa mtu. Maji yako masaa 24 , luku unajitegemea mwenyewe. Kwa wanao hitaji karibuni Pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom