Kwa wanandoa! Tutafakari hili.

mpenzi wa ndogo tambua nawe ukija kuoa lazima utmla tigo mpenzi wako usipofanya ivo lazima watakulia wenzio
all in all mke wa mtu i mean hata demu wa mtu unaejua si wako ni rahisi kumwambia chochote au kumshawishi chochote na kufanya nae chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawahi siti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama vinashawishi watu kufanya nje, why wasivifanye ndani tu?
 
Duh ndoa sio kwaajiri ya starehe kiasi kwamba tuna muasi Mungu ndoa ni sehemu ya ibaada....mimi ningekuuliza mleta mada ungependa bint yako au Dada ako afanyie hivo ili kudumisha ndoa? Huo ni uchafu wa zaidi ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani badala ya kujihukumu kwamba unatenda dhambi, ndio kwanza unaangalia uwezekano wa kutanua wigo wa kutenda dhambi.

Kanuni iko wazi mkuu, utavuna unachopanda.

Endelea kupanda ni heri ungeangamiza uliyokwishapanda ila sidhani kama una akili hiyo.
 
Kwa haya maelezo yako anayeonekana hana akili na mwenye makosa ni ww,coz inajulikana wazi wanawake wapo weak dhidi ya wanaume.
Kumbuka malipo ni hapa hapa duniani,utakuja nawe kuoa mke wako nae atafanyiwa hivyo hivyo.
 
Kwahiyo wapo vijana ambao wakiangalia maumbile ya wake au wapenzi wao hawajui kama wanafanya huu mchezo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…